CDTF yajivunia kijana anayeandikia miguu, kufaulu

CDTF inampongeza Hamisi Nguku kwa kufaulu mtihanmi wa kidato cha nne na kuchaguliwa kuendela na masomo yake ya kidato cha sita. Hamisi Nguku, kijana mwenye ulemavu anayetumia miguu kuandika kutoka kijiji cha Munga, kata ya Mtimbila, wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro. CDTF imekuwa ikiwezesha vijana kupitia programu yake ya kusaidia wanafunzi kwa kutumia mapato ya […]

Wanafunzi wapewa ujuzi wa kilimohai – Kata ya Msongola, Ilala.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Sangara wanajengewa ujuzi wa kilimohai na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) walipokuwa wakiandaa na kupanda bustani ya kilimohai iliyopo shuleni katika kata ya Msongola mwezi Agosti 2024. Mradi wa Maji na Kilimo Hai na Uchumi ni mradi uliobuniwa na wananchi wa Kata ya Msongola kwa kushirikiana na viongozi wa […]

#GIVINGTUESDAY

On December 9th, 2022, Community Development Trust Fund (CDTF) joined the #GIVINGTUESDAY movement organized by Foundation for Civil Society (FCS) and Tanzania Philanthropy Organization (FCS) in Tanzania with a Cleanup and tree-planting initiative at Msasani Beach in Dar es Salaam. The aim was to combat littering, foster long-term behavioral change, and raise awareness about the […]

Empowering Service Providers and Recipients in Masanganya Village

Masanganya is one of the Health Facility (a Dispensary) within the CLM project area, it is located 45 kms west of Kisarawe district head quarter. The dispensary offers among other services the CTC, it serves the population of about 5,401 people and 363 persons living with HIV/AIDS. The approach used by CLM project has significantly […]

A Global Example of Giving: The Inspiring Journey of CDTF

Charity and philanthropy is something that can be done anywhere and everywhere, and by anyone. And if you need an example of this, look no further than the story of CDTF (Community Development Trust Fund); an organization founded by an American immigrant Marion Chesham and 4 others in Tanzania. CDTF joined the Giving Tuesday movement […]

CDTF na maendeleo ya sekta ya elimu- Mvomero

Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) mwaka 2016/17 ilishirikiana na wananchi wa kijiji cha Maguruwe kata ya Bunduki Wilaya ya Mvomero kujenga madarasa matatu na ofisi ya Walimu  shule ya msingi Maguruwe ili kuchochea na kuboresha sekta ya elimu . Wanafunzi katika shule ya msingi Maguruwe walikuwa wakisomea katika madarasa yenye miundombinu isiyoridhisha kulinganisha na […]

Page 1 of 2
1 2