Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) inashiriki katika kuboresha hali za watu wenye ulemavu ili wawe na uwezo kama watu wengine kuwajibika kiutamaduni, kiuchumi, kijamii na kisiasa, na kujitegemea.
Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa na Lady Marion Chesham mwaka 1962 ikiwa na madhumuni ya kuwajengea uwezo wananchi kujitolea na kuwajibika katika shughuri za maendeleo kiuchumi, kijamii na kiutamaduni ili kuondokana na umasikini.

2 Responses

  1. Nashukuru kuliona shirika lako katika website yenu.
    Kikundi cha Save Disabled Family Farmers Group (SADIFFAG) kipo Kata ya Toangoma, Wilaya ya Temeke- Dar es Salaam, kina wanachama 20 (6 wanaume na 14 wanawake).
    Tunaomba kujua jinsi kuomba ruzuku ya kutuwezesha katika shughuli za kilimo (bustani, ufugaji samaki, kuku, ushonaji, kutengeneza sabuni n.k ) kutoka kwenu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *