Utolewaji lishe kwa wanafunzi mashuleni huongeza ufaulu wa wanafunzi nchini. Wanafunzi wa shule ya msingi Mlinwa waki hamasisha wazazi, serikali na wadau mbalimbali kusaidia lishe kutolewa mashuleni wakati wa uzinduzi wa bwalo la kisasa la chakula lililojengwa na CDTF kwa kushirikiana na KKKT, Serikali na wananchi kwa ufadhili wa OBA.
Pia walimkaribisha Mgeni rasmi kuzindua jengo la kisasa ambalo CDTF ilisimamia utekelezaji wake ili kuhamasisha lishe kwa wananfunzi mashuleni inayochangia ufaulu katika masomo yao.

3 Responses

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *